Thursday, January 24, 2008

KIKWE NA NKURUZINZA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi katika uwanja wa ndege Mwanza leo mchana.Baadaye viongozi hao walifanya mazungumzo Ikulu ndogo Mwanza

No comments: