Thursday, January 24, 2008

PAKA NA PANYA

Hatimaye juhudi za upatanishi wa kiongozi wa PNU, Rais Mwai Kibaki na ODM, Raila Odinga zimeanza kuleta matumaini kama walivyokutana jana kw amara ya kwanza tokea matokeo ya uchaguzi wa Decemba 27. Kweli huu ni urafiki????

No comments: