Wednesday, January 30, 2008

MAUAJI KENYA TISHIO

Jamani mtanisamehe kwa picha hii kwani wengi mnasema zina 'bad taste' lakini tujaribu kutafakari ukatili huu unaofanywa na wananchi wa kenya!!!!!! mama kauawa mtoto hajui cha kufanya.
Nadhani mtanisamehe niliona kitu hii tushare pamoja. Lazima viongozi wa Afrika wanaokutana Addis wafikirie hii hali.

6 comments:

Anonymous said...

Words cant express that!Kenya its shame.
Aliko mwakanjuki

Anonymous said...

jamaniiiiii.....! initisha kwakweli.

Hivi huyu mtoto aje apate uhai kufikia miaka 20 akumbuke haya ya utotoni ataishije kisaikolojia?

Anonymous said...

Viongozi wetu wa africa hawafikirii hili. Wanajali matumbo yao tu. Inasikitisha, na kutia hasira sana. Watu wazima lakini wanavichwa kama maboksi matupu.
Haya rais wetu wa Africa amesha sema hii haimsubui!

Anonymous said...

For what i know, huyu mtoto ataendelea kukubuka hivi mpaka akiwa mzee, inabidi apatiwa ushauri wa kisaikologia la sivyo anaweza kupata saikological effects

Anonymous said...

I WISH MH. JAMES MBATIA ANGEIONA HII PICHA NA KUHUISHA NA NDOTO YAKE YA KUTAKA KUMWAGA DAMU.

esra can said...


zenci porno