Wednesday, January 30, 2008

ZIARA YA BUSH YALETA MATATA DAR

Gari la 'Cadillac One' ambalo litatumiwa na Rais Bush akifika Dar es Salaam linaonyesha halijawahi kutumia barabara za vumbi!

Kwa ajili hiyo tayari wabongo wameanza kutengeneza barabara ya Nyerere kuelekea Airport iwe na lami kwa ajili ya ujio huo.


1 comment:

Anonymous said...

Who knows where to download XRumer 5.0 Palladium?
Help, please. All recommend this program to effectively advertise on the Internet, this is the best program!