Saturday, February 02, 2008

MTOTO MAMA

Yaani maisha ya vijijini yanatisha sana hebu cheki kibinti hiki cha miaka 14 kilipigwa mimba na mtu na baadae kukiacha kikiomba hela ili kulea mtoto huyo katika mji wa Manyoni mkoani Singida. Watu hawaogopi miaka 30 jela!!!!!!
zen.co.tz

1 comment:

Anonymous said...

Dah hii picha imeniuma sana, yaani nikifirikia maisha yake jinsi yalivyoharibika, na maisha ya huyo mtoto wake, yaani two generations are spoilt. What is wrong with our society? Aisee if we do not come up with solutions on how best we can protect,women and children basi maendeleo kwetu ni ndoto. Yaani mtoto amezaa mtoto. Shit this world is fucked up