Tuesday, February 05, 2008

NYIRENDA WA KILIMANJARO

Kijana Alexander Nyirenda kipindi hicho akiwa mjeshi akipandisha mwenge kwenye kilele cha mlima Kilimankaro wakati wa Uhuru.
Hapa alikuwa akifanya mazungumzo na mwalimu Nyerere Rais wa Tanganyika wakati huo alipompongeza kwa kazi nzuri.
Uzeeni hivi majuzi akiwa hoi hospitali akihudumiwa na mkewe mpaka ilipoandikwa gazetini kuwa yuko hoi huko na serikali kuamua kuchukua jukumu la kumtibu nje ya nchi!

No comments: