Tuesday, January 15, 2008

ODM YAMMWAGA KIBAKI

Wabunge wa ODM wakirusha maneno walipoona hatari ya kuibiwa kura, Hata hivyo Kenethe Marende wa ODM alishinda kwa kura 105 dhidi ya 101 za spika mzoefu Kaparo aliyeungw amkonio na PNU!
Raila Odinga akiwa ndani ya Bunge kabla ya kutangazwa matokeo
Wakati wazee wanagombea nafasi ndani ya Bunge mtoto huyu alikuwa akiokota mahindi yaliyomwagika katika magari ya WFP yaliyokuwa yanagawa chakula jijini Nairobi.

No comments: