Tuesday, February 12, 2008

Baraza!

Wadau samahani nilikuwa safari katika sehemu hazina internet lakini sasa mambo shwari nimerejea kwa jili yakuendelea kuhabarishana masuala mbambali likiwamo la leo ambalo ndio kuu la Baraza la Mawaziri.
Minong'ono imeenea, watu wanasema mara wapinzani mara Mwandosya, sijui Magufuli nje! Mara wengine hawajafanya kitu!
Yote haya ni uvumi mambo yote saa tisa alasiri. Ilikuw aiwe saa nne lakini sijui kuna siri gani JK anaiweka! tuwe wastamilivu rais amepata muda wa kutosha wa kupata mchele wa Kyela bila pumba!
Tusubiri saa 9.15

1 comment:

Anonymous said...

Wewe huna lolote unatuyeyusha bwana sisi tunahitaji utubandikie story non stop ukome kutuyeyusha tutakuwa hatukutembelei.