Friday, February 08, 2008

MALIZA MALARIA

Wafanyakzio wa kiwanda cha AtoZ wakitengeneza vyandarua katika kiwanda hicho chenye ushirikiano na kampuni ya Sumitomo Chemicals ya Japan mjini arusha leo kiwanda hicho kilikuwa kifunguliwe an Rais Kikwete lakini kwa mambo mazito ya waziri Mkuu akashindwa kuja imebidi afungue makamu, Dk Shein.

1 comment:

Anonymous said...

its Hon Pinde new PM
aliko