Saturday, March 08, 2008

ELOI ELOI NAMARICHMOND

Ilipotimia saa tisa Msabaha akamwambia Lowassa, 'Bwana hebu jiokoe na kichapo hiki' Lowassa akanyamaza! Ndipo Karamagi akageuka na kumsihi, 'Tafadhari unikumbuke katika biashara zetu'.
Akaibuka Mbunge akampa Siki ya mbilimbi katika Sifong'o nae akasema imetimia Nimeshampa barua Rais Asubuhi hii. Akakata roho!!!!! Giza likatanda Monduli nzima na wakagawana madaraka yake.

4 comments:

Anonymous said...

Hii ni dharau kubwa kwa Waamini wa dini ya kikiristo kutumia Msalaba katika kuulinganisha na kesi ya Richmund.Matani mengine yanazidi kiasi.

Anonymous said...

I find this very offensive!!!

Anonymous said...

Anonymous # 1 & 2 you are right, it very very offensive!!!!!!

Anonymous said...

Wajaribu kwa waislamu waone moto. Hata kanzu ambalo ni vazi tu la waarabu,cheza nalo ukione cha.. Au hamkumbuki marehemu Suleiman Mwanyiro alipopiga bass guitar na kanzu na bargashia,alisomewa arbadir......na waislam wakaandamana baada ya swalat Ijumaa !!!