ELOI ELOI NAMARICHMOND
Ilipotimia saa tisa Msabaha akamwambia Lowassa, 'Bwana hebu jiokoe na kichapo hiki' Lowassa akanyamaza! Ndipo Karamagi akageuka na kumsihi, 'Tafadhari unikumbuke katika biashara zetu'.Akaibuka Mbunge akampa Siki ya mbilimbi katika Sifong'o nae akasema imetimia Nimeshampa barua Rais Asubuhi hii. Akakata roho!!!!! Giza likatanda Monduli nzima na wakagawana madaraka yake.
4 comments:
Hii ni dharau kubwa kwa Waamini wa dini ya kikiristo kutumia Msalaba katika kuulinganisha na kesi ya Richmund.Matani mengine yanazidi kiasi.
I find this very offensive!!!
Anonymous # 1 & 2 you are right, it very very offensive!!!!!!
Wajaribu kwa waislamu waone moto. Hata kanzu ambalo ni vazi tu la waarabu,cheza nalo ukione cha.. Au hamkumbuki marehemu Suleiman Mwanyiro alipopiga bass guitar na kanzu na bargashia,alisomewa arbadir......na waislam wakaandamana baada ya swalat Ijumaa !!!
Post a Comment