Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Msalato Dodoma akiwa ananyanyaswa na Konda wa daladala akitakiwa alipe nauli ya Sh400 ya mtu mzima! Unayanyasaji huu nilifikiri uko Dar tu!
Kwa sheria za Jmahuri ya muungano wa Tanzania konda huyo anafaa kustakiwa kwa makosa yafuatayo;anashtakiwa chini ya sheria ya makosa ya jinai chini ya sheria ya shambulio la kudhuru mwili, pia chini ya sheria ya jinsia , kunyanyasa na kudhalilisha(kwa shika matiti ya msichana chini ya miaka 18 bila ridhaa yake) ambayo pia anaweza kuingia hatiani kwa kosa la ubakaji kama sheria hii itatafsiriwa vizuri!
Natamani ningekuwa niko Bongo, maana hapo ni ushahidi ulidhahiri kabisa wa kumtia hatiani huyo Konda, akistakiwa na kuhukumiwa itakuwa fundisho kwa makonda na watu wengine wote wenye tabia ya kushika miili ya watu bila ya ridhaa ya mwenye mwili
4 comments:
huyu konda anastahili afuatiliwe na apewe adhabu.
Hii sio hali ya kufurahia au kuiachia iendelee hata kidogo.
Kwa sheria za Jmahuri ya muungano wa Tanzania konda huyo anafaa kustakiwa kwa makosa yafuatayo;anashtakiwa chini ya sheria ya makosa ya jinai chini ya sheria ya shambulio la kudhuru mwili, pia chini ya sheria ya jinsia , kunyanyasa na kudhalilisha(kwa shika matiti ya msichana chini ya miaka 18 bila ridhaa yake) ambayo pia anaweza kuingia hatiani kwa kosa la ubakaji kama sheria hii itatafsiriwa vizuri!
Mwanasheria
Natamani ningekuwa niko Bongo, maana hapo ni ushahidi ulidhahiri kabisa wa kumtia hatiani huyo Konda, akistakiwa na kuhukumiwa itakuwa fundisho kwa makonda na watu wengine wote wenye tabia ya kushika miili ya watu bila ya ridhaa ya mwenye mwili
vipi mwananchi wametumia picha yako..http://www.mwananchi.co.tz/
lazima wakulipe vinginevyo peleka kesi Kisutu
Post a Comment