Tuesday, March 25, 2008

MNADA WA MSALATO

Kwa wanaoujua mnada wa zamani pakle Maili Mbili Dodoma kwa sasa umefungwa nilipoenda nimekuta umehamia jirani na Home maeneo ya Msalato! Jamaa anachukua nusumbuzi hapo.
Nyama Bwelele yaani unachagua kiasi chako wanakuchomea then unakwenda kwenye kibanda cha bia!
Mchomaji ukimzulumu pesa yake unaweza ukapewa kilo 1.5 badal aya mbili ulizoagiza.
Kwa upande mwingine kuna mboga ya waumini wa dini ya kizungu na nyingnezo zinazoruhusu matumizi ya kitimoto.

1 comment:

Kapongola said...

Mdau sijakuelewa unaposema "ukimzulumu pesa unaweza pewa kilo 1.5 badala ya mbili ulizoagiza"

Kwangu mie kuzulumu inaamisha kutolipa au pengine kulipa pungufu.. sasa tukija kwa hao jamaa ambao wako tayari kutoa huduma kwa wadhulumaji... hakika wananishangaza sana

La sivyo mdau toa maelezo zaidi