APONEA CHUPUCHUPU


Kijana Mbaraka Omary Shamshasu (28) ambaye aliponea chupuchupu alipokumbwa na maji mgodini Mererani, mkoani Manyara alipokuwa na wenzake 25 ambao wote walikufa! Picha ya chini ni jinsi mgongo ulivyokwaruzika wakati akijiokoa. Habari kamili kesho kwenye Mwananchi.
1 comment:
mzee wa sumo eti ni kweli father kidevu aliuwawa na majeshi ya mohamed bacar?? jaribu kumtafuta mtu wangu, wanasema alikuwa na bunduki lakini hajui kufyatua risasi!!
Post a Comment