Thursday, April 10, 2008

BUNGENI LEO

Mheshimwa Zitto Kabwe akiingia bungeni leo, kijana anatisha chati zake zimezidi kupanda sijui katumia mganga gani? tulizoea wazee kuwika. Hard work pays!
Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, John Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Handeni, Abdallah Kigoda walipokuwa wakielekea katika ukumbi wa bunge. Kumbuk aenzi zao nao walimg'aa!

2 comments:

Anonymous said...

Magufuli ni kati ya viongozi wachache ninaowakubali, jamaa ni mu wazi sana, haogopi chochote, hata tindikali anaonekana haogopi, well done Magufuli.
ila tatizo sasa anahamishwa sana, mpaka anashindwa kufanya kazi kwa kutulia.

Anonymous said...

Michosho mitupu hakuna Isssue hapa!Kuuzwa kwa Nyumba za Serikali hiyo dhambi haiwezi kufutika mpaka zirejeshwe kwa wenyewe!Zoezi la Ubinafsishaji lilivyo endeshwa kiholela limetuachia simanzi tupu sina haja ya kuelezea!Historia ndiyo itakayo wahukumu!RIP!