Tuesday, April 08, 2008

MZEE KABILA

Jamani Mmemuona Mzee Joseph Kabila yaani nilipomuona sikuamini kamzuzu haka. Sijui kakaachia ili aonekane nae umri umeenda ama vipi?
Hapa ilikuwa lipopita Dar es Salaam akielekea India katika mkutano wa India na wakuu wa nchi za Afrika.

3 comments:

Anonymous said...

Ama kweli maisha kila mtu alipangiwa. Huyu Joseph nilikuwa naye Makutupora JKT, tena combania moja. Dada yake (Janet Kabila) alikuwa Makutupora pia ila kombania nyingine. Pia tulikuwa wote tukiishi Msasani, hakuna mtu aliyejua kama hawa watu ni wazaire, walikuwa wakijiita wawemba mara wafipa. Na walikuwa wakiongea kifipa bila shida.

Anonymous said...

duh jamaa shavu dodo.hivi alioa kimya kimya au?

Anonymous said...

Hivi wandungu tuitazame picha ya PILI. Huyu mkuu amevaa sa MBILI au macho yangu yananitania?...