Sunday, May 18, 2008

MITUMBA JAMANI

Jamaa wakichagua nguo katika soko la Kilombero mjini Arusha. Kweli nguo za mitumba zimesevu watanzania cha kujiuliza wazungu si wangetuwekea angalau mpya basi!!

1 comment:

Anonymous said...

Nasikitika sana kwa kweli mwanawani wa aAfrica mpaka lini watavaa mitumba, seikali zikowapi kuifkiria kufanya kiwanda cha nguo, kama Tanzania wakinunua au hata wakaomba msaada wa kiwanda 1 au 2 cha nguo si kuuza nje ni za watanznia tu kwa bei nafuu.