Yaani siku hizi kila mtu amekuwa mganga wa kienyeji sasa uliza bidhaa wanazouza! Nguvu z akiume mara mhanzagala wa meno, mkuyati sijui nini? Hizi bidhaa zingepitishwa kwa Mkemia Mkuu ama TBS kuona kama zinafaa kwa binadamu!
2 comments:
Anonymous
said...
mzee wa sumo sio ya kuyashangaa hayo,kwani ni njia moja ya kupata ajira.bora hawa wanaweza kukupa nguvu zako za kiume kua kali ili upate ukimwi kwa haraka.. yaani we acha tu..yaani ufisadi upo katika nyanja zote hapa bongo.waganga wa mapenzi wa nguvu za kiume wote ni mafisadi,yaani na hao cahngu doa wafisadiwa wapo wengi..there is no virgin in this life.life fucks everybody..mheshimiwa jk kasema lazima watanzania tuvumilie njaa,kwa wakati huu.kwa hiyo yote hii miradi ya uganga ni kuganga njaa..tuwavumilie tuu hakuna haja ya kuwapeleka kwa mkemia wala nani,kwani wakemia wabongo pia ni mafisadi,kama kweli wakemia wetu wangekua wanafaa,basi wangetuambia ukweli juu ya mafumba yale yaliotupwa bungeni na chenge nini?....waache wapete waganga wetu

tobaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! mbona hata dawa za kukuza viharage watatoa naisi ata dawa za kubadilisha maumbile wanatoa
Post a Comment