Thursday, July 24, 2008

JAMANI TID!!!!!!!



Yaani dogo huyu nimempenda sana sijui wamemfanyizia yaani kupiga mtu ni kifungo bila faini? Si mchezo napenda style zake tu jukwaani. Lakini huo utakuwa muda mzuri w akuwaza na kutunga nyimbio kali zaidi kama Wajelajela original walivyofanya!

4 comments:

Anonymous said...

Kwa nini yeye aliamua kupiga bila faini???!!

Anonymous said...

acha akakumbane na vibaka wa segerea,mpe salamu nyingi mzee seya..kwani bongo sheria ni kwa wanyonge,wenzio mafisadi wanapeta..ilibidi uwe ngoma ngumu,na watu wakukupigia debe kwa hakimu naona ungepewa faini sio kifungo,kwani bongo mahakimu inabidi uwanunue hata kwa crate moja ya mayai,kesi kwisha,pole dogo.mungu atakulinda

Anonymous said...

Mwache aenda akatumikie kifungo.Inakuwa je mtoto wa Kiislamu kwenda kunywa pombe ambayo imekharamishwa na Allah? Malipo ya uovu tunaoufanya yapo hapahapa duniani.

Anonymous said...

maskini msanii uyu namuonea uruma sana maana uwezekano wa kupoteza kipaji chake akikutana na wabakaji na wafiraji wa segerea.mtumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee