Wednesday, July 30, 2008

MAREHEMU CHACHA WANGWE

Chacha enzi za uhai wake baada yakunyoa rasta!
Gari alilokula nalo mzinga likiwa linaondolewa barabarani maeneo ya Pandambili, Dodoma jana.
Mallya, jamaa aliyekuwa na Chacha katika gari lililopata ajali.
Rais kikwete akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Chacha.
Gari lililohitimisha maisha ya Chacha likiwa limeharibika vibaya, watu wanajiuliza kumbe huyu mtu hakuwa Fisadi alitumia tu kataksiii wakati wengine wana mashangingi!!!!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli Mzee wa Sumo Mungu ailaze Mahali Pema Peponi hakuwa Fisadi maana hata ktk Chama chake wapo mafisadi hivi kwa nini Tusioandamane jamni wananchi TUMECHOSHWA MHESHIMIWA RAISI NA MAFISADI IPO SIKU TUTAANDAMANA