Friday, August 15, 2008

AFYA

Watoto wa shule ya msingi Uzuri jijini Dar es Salaam wakichota maji kisimani kwa ajili ya kumwagilia bustani ya shule! Jamani watoto wadogo wanachota maji machafu halafu kisima chenyewe, si watoto watakuwa bure?

No comments: