Friday, August 15, 2008

KAZI JAMANI!


Yaani watanzania wenzetu wanahenyeka kwa kazi ngumu na zisizo salama cheki jamaa anazibua choo cha mtu boil akifaa chochote na anashika mananiii! kisha analipwa buku unusu!
No comments: