Friday, August 15, 2008

VITUO VYA BASI

Bongo wauza scrapper wamechukua vyuma vyote mjini kuanzia shades za mabasi mifuniko ya drainage na kila kitu cha chuma mpaka watu wanajisitiri kwenye transformer!

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo kuu Tanzania ni kwamba tumeshindwa kusimamaia utawala wa sheria, bado tunaishi kwenye zama za ushenzi! Na watu wameridhika na hali ndo maana viongozi tuliowapa dhamana ya kusimamai na kutekeleza mamlaka na sheria hawawajibiki