Saturday, August 02, 2008

MAMBO YAWA MAMBO

Wanafunzi wakimkoromea polisi aliyekuwa ndani ya gari na akiacha makondakta wawazuie kupanda na kumshutumu kuwa anauchuna kwa kuwa yeye anapanda bure!!!! Bado kidogo wamtoe macho.

2 comments:

Anonymous said...

Huyo umwela ana wasi wasi gani wakati yake yanamwendea? Pengine hana mtoto na kama anaye basi amechukuliwa na gari au amepelekwa na house girl shule. Ameuchuna sana, mie mbona bado sijasikia projects za kuboresha usafiri wa mmijini na vijijini? Nikisoma blgs naona projects za makaa ya mawe, madini, kujenga treni ili waweze kuchukua mali na zifike bandarini au Airport. Maana wanahitaji kufisadi kuzipeleka nje ya nchi, mapato kibondoni. Siku zoote wanaopata taabu ni wafanyakazi wa kawaida na masikini. Jamani mh. rais Kikwete, CCM whatever! Mnafungua mashule, sasa wanafunzi wataenda vipi shule bila ya usafiri, hii ni burning issue ambayo serikali inabidi iipe kipaumbele kwa sasa, wanafunzi hasa wa mijini wanapata taabu.

the godfather said...

this is a dangerous trend that is evolving. yaani mtoto wa shule amefikia hatua ya kumzomea afisa wa usalama? aisee Sumo hii balaa kwa kweli. this situation needs to be addressed urgently, once and for all and expeditiously indeed.