Tuesday, August 05, 2008

PASCAL MAYALLA HOI HOSPITALI

Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Paschal Mayalla akiwa Hospitalini mkoani Dodoma baada kupata ajali na pikipiki yake alipokuwa aikisafiri kwenda mkoani humo. Paschal amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.

3 comments:

Waniha said...

No! Paschal what happened? We wish you a speed recovery and God bless you.
Richard & Paschal

Anonymous said...

Get well soon Pascal, but Mzee wa Sumo ajali imetokea eneo gani?

Anonymous said...

I pray for your quick recovery brother Pascal Mayalla. May you get well soon.
Blessings.