Thursday, September 25, 2008

USAFI WA MBWA


Zamani mbwa kuwapeleka kuoga ilikuw adili mnakusanyiaka watoto wote mtaani jumamosi kil ammoja na mbwa wao, mkiwaogesha baadae mnawapiganisha! Kama hawa watoto wa Mji Kasoro Bahari

No comments: