Tuesday, September 16, 2008

WANASIASA WETUHawa jamaa huwa wananimaliza wakikutana wanachekeana wakiwa kivyao wanamalizana kiroho mbaya! Cheki sura zao!!!!

1 comment:

Mswahilina said...

Hapa mnafiki ni Mrema. Na amechoka na kuchakaa kabisaa.