Thursday, February 05, 2009

Salama ndugu zangu? Tuko pamoja ingawa sijaupload siku nyingi niko nanyi nikirejea nchini ntaweka vitu

6 comments:

Range James said...

we bwana kibonge mbona mwaifuge kaniambia upo hapa Nairobi lakini haujanitafuta hata siku moja?????mimi Range
naishi hapa karibu na KBC panaitwa Norfok Towers +255783138844 ma 0715458790

Lusako said...

Mzee wa sumo unatuangusha Bwana...kwani inakuchukua muda mwingi sana kuapload blog yako.Na pia hata kama uko nje ya nchi sio sababu ya kuto upload blog yako mbona wengine wanasafiri kila siku lakini wana upload ina maana uko uliko hamna kitu unachohisi jamii ya blog yako inafaa kujua...

VICE said...

mzeeeeee kwani ukiwa nje hauruhusiwi ku-upgrade babu...........sema tu umeamua kutupila mbali hii blog

Anonymous said...

Labda umekufa wewe unatuficha tuu,Siutuambietu tutakuelewa

Anonymous said...

Naswigile fijo. Mzee wa sumo angalau umetupa pumzi kujua kuwa upo, nadhani kama alivyosema mdau hapo juu nashauri tupe mambo ya huko yanayoweza kutufaa kwa elimu, burudani n.k hata tafakali jadidi.
Mdau.

Anonymous said...

Sie yeye ana-upload. Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa huwa anampa jamaa mtu mmoja amsaidie. Hajui chochote kuhusu Kompyuta ndio maana hawezi ku-upload akiwa nje ya nchi.