Saturday, March 07, 2009

CHAMA KIPYA


Mwenyekiti wa muda wa Chama kipya cha siasa kitakachojulikana kama People Democratic Movement (PDM), Joseph Minja (Mwana Anga) akionyesha bendera ya chama chake hicho, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi kukizindua mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

2 comments:

Anonymous said...

Mchaga mwingine. Anakimbizia ruzuku.

Anonymous said...

Hata sikweli hii ni janja ya ccm kuwagawa watu:-