Saturday, March 07, 2009

MATOKEO YA POLL

Kumbe watanzania wengi wamependa kazi aliyoifany amaximo kwa kujibu wa poll iliyoendeshwa na bliog hii matokeo ni kama ifuatavyo:
Aendelee watu 42 sawa na 73%
Aondoke watu 10 sawa na 17%
Vyovyote powa 5 sawa na 8%

Poll mpya inaanza leo.

No comments: