Saturday, March 07, 2009

URODA

Yaani hii picha imenikumbusha miaka ya 1980 ziliingia baiskeli za Phoenix karibu kil anyumba katyika neighbourhood ilinunua mija sasa kupakizana ulikuwa mtindo huu!!! Karibu kila mtoto wa enzi hizo alipata kovu la baiskeli!

No comments: