Saturday, March 14, 2009

HARUSI


Kwa kipindi kirefu gazeti la Mwanachi Jumapili limekuwa likitoa picha za harusi za watu za jana yake. Kwa kuwa sasa kila mmoja ana nafasi ya kutoka gazetini tunaomba mtu mwenye harusi yake atutaarifu siku ya harusi ili picha zipigwe ama mwenyewe kutuma kabla ya jumamosi ya wiki hiyo ili zitumike gazetini. Huduma ni bure!!! Kwa watu wa dini zote hata wasiodini! Haya wenye ndoa zao wanaweza kutuma bukuku@thecitizen.co.tz

No comments: