Friday, March 13, 2009Ustaadhi baada ya kukiri akaanza safari ya kwenda Segerea!!! Inshaalaah walau kafungwa mmoja kwa kuwa kosa la kwanza!!

1 comment:

Nautiakasi said...

Allah atakupa ujira mkubwa kwa kazi yake uloufanya...! Sio wewe wa kwanza kukaa gerezani kwa ajili ya dini ya Allah, hata manabii wa Allah washakaa gerezani (Rejea historia ya nabii yussuf na wenginewe)! Ni heri gereza la duniani kuliko moto wa ahera..! Allah alifanye gereza lako hilo la dunia kuwa kama bustani katika bustani mzuri za dunia, akujaalie moyo wa subra na uvumilivu, ajaalie mwaka huu mmoja (miezi 6), iwe kama kuingia na kutoka tu (dk chache)! Makafir watakulaani, sisi waumini tuko na wewe! Kazi ndo inaanza..!