Friday, March 13, 2009

MIKONONI MWA POLISI
Ustaadhi Ibrahim Said akiwa mikononi mwa polisi alipofikishwa mahakama ya kisutu jana, maskini uso wake unaonyesha majuto. Kweli Majuto ni Mjukuu!! Jamaa sasa kusota mwaka mmoja jela kwa kosa hilo baada ya kuhukumiwa Kisutu leo yaani sasa hivi!!!


1 comment:

Tuny said...

Mzee wa Sumo,huyu kijana ameonyesha ujasiri but at the wrong place.Ni kweli kwa mzee Ruksa kuongelea matumizi ya kondomu kivile kwenye maulidi ilikuwa rahisi sana kwa some folks kuyachukulia maneno yale tofauti.Too bad anakwenda jela plus alipata kipigo kidogo toka kwa makachelo waliokuwa wamelala.