Wednesday, April 08, 2009

LEMA AZIKWA
Hatimaye shahidi muhimu katika kesi ya kina Zombe, Koplo Rashid Lema amezikwa kijijini kwao Lyamungo , Kilimanjaro. Aliswaliwa katika msikiti wa Lyamungo Sinde huku jeneza lake likiwa limefunikwa bendera ya jeshi la Polisi.
Pamoja na hayo bado ndugu zake wanataka ushunguzi wa kifo chake wakishuku kuwa kun amkono wa mtu! mambo hayo!!!!


No comments: