Wednesday, April 08, 2009

MAFURIKO KYELA
Mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini zimekuwa zikisababisha madhara kwa wakazi wa sehemu mbalimbali ikiwamo Hawa wa Kyela ambao wanashindwa kupita na wengine wamehamia madarasani! Hivi kweli mwaka jana kulikuw an atatizo kama hilo mwaka huu tena. Hivi hatuna njia za kudhibiti mpaka baadae tuanze kuchangishana mablanketi kila mwaka?

No comments: