Thursday, April 09, 2009

DECI, VUNAVUNA


Maelfu ya watu walifurika jana kupinga hatua ya BoT kupiga mkwara tasisi ya Deci inayowapandisha mbegu wananchi na kuwapa mavuno ya mapesa! lakini cha kujiuliza sual ala watu wote hawa litaishaje? Limekaa vibaya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Maamuzi ya busara yanatakiwa sijui iendelee tuone mwisho ama serikali ijaribu kulinda Integrity ?

4 comments:

Anonymous said...

"Haloo we Mtanzania!..Hii ni DECI vs Mamilioni ya Kikwete..Unachagua ipi?"

Anonymous said...

Hii ndio jamii iliyojengwa na CCM kipindi chote ilichokaa madarakani,yaani wananchi wanapenda kupata pesa za bure bila kufanya kazi,vp kama idadi hyo ya watu iliyojitokeza DECi kama ingeamua kufanya uzalishaji,nadhani nchi ingekuwa mbali.

Anonymous said...

CCM wanatubania educatin ili tuwe mambumbu kama hivi.

leah said...

Hivi kweli wadau hii DECI ni ya kweli au wakubwa wameamua tu,kuvuruga mawasiliano tukiangalia kwa namna moja au nyingine Deci inasaidia sana kuna mwanafunzi nasoma nae chuo yupo mwaka watatu sasa na anajisomesha kwa kutumia deci.

Nilivyosikia wakubwa ndio wameingilia kati jamani watanzania sie>