Wednesday, June 24, 2009

AJALI AJALI


Ajali sasa zimekuwa kiboko maisha yanapotea kila kukicha kam ahili fuso lilivyosababisha vifo vya watu saba Mbeya na kujeruhiwa wengine 40. Mabasi noma, malori noma vibajaji ndio kabisaa!! Sijui tupande nini?

No comments: