Wednesday, June 24, 2009

USAFIRI


Wakazi jiji la Dar es Salaam wakisafiri kwa lori kuelekea Msumi, kilomita 10 kutoka Barabara ya Morogoro maeneo ya Mbezi, kutokana na kutopatikana kwa daladala. Sasa kama usafiri jijini Dar es Salaam ndio hivi watu wa mikoa ya pembezoni kama Sumbawanga, Songea ama Kigoma watakuwa wanapanda nini?

1 comment:

Anonymous said...

WEWE UNAONA KUWA WANASHIDA LAKINI AKIPTA MALECELA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA KUWAAMBIA KUWA WANAPANDA MABASI KWA RAHA ZAO HAOHAO WATAMSHANGILIA KUWA NI KWELI HAWANA SHIDA NA MABASI NI MENGI.