Wednesday, June 24, 2009

Usiombe Daladala ibume njiani ahalafu konda ajaribu kurudisha chenji ziishe, atake kuwachanganya kwenye chenji inakuwa kimbembe!! Nauli yenyewe 250 halafu sh50 hazipatikani weee!!!

No comments: