Wednesday, July 22, 2009

AMBULANCE

Shida ya usafiri kwa wagonjwa sio vijijini tu, bali hata kwa watu wa hali ya chini ambao wako Dar es salaam ama miji mingine mikubwa yanawakumba kama haya. Sijui hali itaendelea mpaka lini landa zikijengwa zahanati kila kijiji!

3 comments:

Anonymous said...

Duh.. pole bibiye kwa kweli tunaishi kwa neema za mungu...

Anonymous said...

Ndaga kaka Mpoki!!,

Umaskini wa watu wa hali ya chini mijini ni mbaya na mkubwa kuliko kwa wale wa vijijini. Fikiria hapo anatakiwa akatoe pesa ya matibabu hospitalini.

Huduma za jamii kwa kila raia ni jukumu la serikari sio rushwa kwa wagombea kura, utasikia mkinichagua nikiwa madarani mtapatiwa maji safi, barara, shule nk. Hii ni haki ya raia kuvipata vitu hivi kura tunakupa kama mwakilishi wetu kwasababu hatuwezi wote kufunga nyumba zetu na kwenda bungeni!!

Wakati wananchi wanaishi kama picha inavyoeleza, unaambiwa serikali ilitumia mapesa yote yale katika ununuzi wa rada!!

Anonymous said...

hii picha ni waathirika wa mabomu mbagala sasa katika hali ya dharura kama hiyo unasubiri ambulance utakuwa hujipendi,acheni upotoshaji, zaidi sana hii picha ina element za uzalilishaji.

wewe inaelekea ukikuta mtu amekaa uchi utampiga picha na kuibandika hapa kwa maelezo yoyote ya kuokoteza ili muradi utimize kiu yako ya uzalilishaji,tangu lini mtu akaenda hospitali akiwa na godoro? jifunze kuheshimu watu.