Friday, August 14, 2009

MZEE WA SUMOSuku kama ya leo August 14, 1999 ilikuwa kama hivi na sasa imetimia miaka 10 ya ndoa Mzee wa sumo alipojiunga na Latika kuijaza dunia. Ninamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuishi pamoja na kuwa na vitegemezi vitatu, Junior (Lusako), Vivian (Koku) na Violet (Ntuli). Nawashukuru wote waliotuwezesha tukaoana na hata waliotuwezesha kudumu hadi leo! Mungu awabariki.

6 comments:

Anonymous said...

hongereni sana mlipendeza sana yaani picha ya 99 lakini utadhani ya leo Mungu awabariki mtimize agizo la kuvijaza vitegemezi vingi zaidi kama tulivyoagiza tuijaze na kuitiisha dunia

Reggy's said...

Hongera sana Mzee wa Sumo, Muendelee kupendana na kudumu pamoja kama yalivyo maagano yenu mbele ya kanisa, yaani hadi kifo kiwatengenishe.

John Mwaipopo said...

Kyala gwamaka. mulijako mpaka ifyinja 100

Anonymous said...

Hey mzee ongera but what went wrong with you ?,you used to be in good shape(healthier looking young man).and all over the sudden you are on the brink of becoming obesity au ni mazagazaga ya shemeji? any way sumo keep up with good job of which you have been serving for us.
thanks

steve said...

Mpoki Hongera kamanda wengine ndo kwanza hata hiyo hatua hatujafikia..we acha tu wivu...Steve IT MCL

Anonymous said...

Hongereni sana jamani.Kumbe Lilia ulikuwa miss namna hiyo. Hongereni sana sana.