Monday, March 08, 2010

MANYOYA


Hivi nasikia hawa jamaa walifikia hali hii baada ya kusaidia ombaomba kwa kutoa kiwango cha pesa, wa juu alitoa buku(1,000) wa chini alitoa jero (500). Kila mtu anatoka manyoya kwa kiwango anachotoa sasa kama ukitoa sh10,000?

No comments: