Monday, September 20, 2010

SHULE YA RIDHIWAN YA UTOTONI

Ridhiwan Kikwete akiingia katika shule ya Msingi Matangini wilayani Nachingwea aliposomea shule ya Msingi miaka ya mwishoni mwa themanini.
Watoto wa shule wakiwa na umri kama wake enzi hizo walimchekelea saaana walipomuona.
Ilikuwa ni kumbukumbu kubwa kwani mabadiliko si makubwa sana ikilinganishwa na enzi hizo.
Alipewa big up sana na wanafunzi wa Matangini.
Aliingiwa na usongo na kuahidi kuwa ataifanyia shule hiyo ukarabati mkubwa ikiwa ni kumbukumbu yake!

No comments: