Tuesday, December 28, 2010

DAR ES SALAAM ENZI HIZO

Hii ni Dar enzi za mjerumani nani anajua huu mtaa?

5 comments:

John Mwaipopo said...

hapa ni posta ya zamani jengo la kushoto ni shule ya forodhani. bisha

Mzee wa Sumo said...

Hakuna umekosa ila ni mitaa ya town hujakosea sana, ni mitaa ya town. Taja mtaa!!!

Anonymous said...

mpoki na ww sasa si utujuze basi tujue napenda mambo kama hayo kutukumbusha tulikotoka safi sana mkubwa.

Ronald Deuly said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

ulikuwa unatambulika kama new street enzi hizo kwa sasa ni Lumumba street maeneo ya mnazi mmoja.