Tuesday, December 28, 2010

USAFIRI KAFIRI

Usiombe ukiwa unataka kwenda kula Krismas bush halafu unakuta kuna lori limeacha kontena njiani, halafu safari yenyewe ya Kigoma ama Mwanza. Hii ilitokea njia ya Dodoma!!!

No comments: