Tuesday, December 07, 2010

MBONGO AANZISHA KAMPUNI YA NDEGE

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari mara baada ya kuzindua ndege za Bold Air zinazomilikiwa na Mtanzania John Ndunguru leo.
Nyalandu akiwa katika katika usikani baada ya kuzindua moja ya ndege mbili za Bold Air.


Rubani akiteremka.

Uzinduzi wenyewe wa usafiri.

1 comment:

Anonymous said...

Wabongo pesa ipo kununua ndege yeyote ile kuanzia kadogo mpaka zaidi si mchezo, spea na service yake si kama gari ni hatari acha utumiaji wa mafuta sasa na mshara wa dereva.