Tuesday, January 04, 2011

SHILINGI ZA KISASA!!!!!!!!!
Benki kuu inetangaza tutaanza kutumia hizi pesa Jan 1, lakini mpaka sasa hazimo mitaani, ATM zote zinatema za zamani ama nazo zimechakachuliwa???

No comments: