Wednesday, March 09, 2011

JUMATANO YA MAJIVU

Wakristu duniani leo wanaingia katika Jumatano takatifu ya Majivu ikiwa mwanzi wa Kwaresima. Nawatakia Kwaresma njema na maadalizi ya Pasaka siku 40 zijazo. Askofu Severine Niwemugizi wa jimbo al rurenge akimpaka majivu mtoto wa Mkulima leo huko Ngara.

1 comment:

Anonymous said...

huyo hapo na waziri na usomi wake lakini biblia haifahamu...jumatano ya majivu aya gani kwenye biblia..au yesu alifanya hivyo...jamanii!!