Thursday, May 15, 2008

VITUKO USWAHILINI

Cheki watoto wanavua visamaki katika bwawa la maji machafu mabobo Dar es Salaam, hata kama ni mboga lakini duh za kwenye kimyesi ni noma. Sasa kuna wazazi hupenda vya bure ukipika hiyo mchuzi mzito kumbe........

3 comments:

Anonymous said...

hao vijisamaki vina kila aina ya proten ebu jaribu kuvila utatamani utamu wake

Anonymous said...

Elimu ya afya inaitajika

Anonymous said...

jamani kuna cholera: